Advancing knowledge, shaping policy, and driving change for sustainable development.

We generate cutting-edge research and insights that inform better policies, inspire innovation, and create lasting solutions. By bridging evidence with action, we empower leaders and communities to build inclusive growth and sustainable development in Tanzania, the region, and beyond.

Social Feed

🗣️ Maoni ya vijana katika Mdahalo Huru: Mtaji Pekee Unatosha?

Mbali na mtaji, vijana wanahitaji msaada gani mwingine ili kujiajiri, kukuza shughuli zao na kufanya zidumu? 🤔

💬 Tushirikishe mtazamo wako.👇🏾

#MdahaloHuru #MtajiPekeeUnatosha #Vijana #Kujiajiri #Ujasiriamali

🎉 Tunasherehekea miaka 30 ya safari iliyojaa utafiti, kujifunza na kuleta matokeo chanya — kutoka kujenga uwezo wa watafiti na watumiaji wa tafiti, hadi kuandaa mijadala ya sera na kuimarisha matumizi ya ushahidi wa kitafiti katika maamuzi yanayochangia maendeleo ya Tanzania.

Utafiti unaonesha kuwa asilimia 66 ya vijana Tanzania wangependa kujiajiri. Lakini je, kuwa na mtaji pekee kunatosha kuanzisha, kukuza na kuifanya biashara idumu? 📌

Karibu kwenye Mdahalo Huru: Mtaji Pekee Unatosha? utakaofanyika Alhamisi, tarehe 10, saa 4:30 asubuhi - 6:30,

Load More