Kijitabu cha Viashiria vya Kijinsia kina kinachambua na kukusanya baadhi ya viashiria vya kijinsia ambavyo takwimu na taarifa zake zimeanzia mwaka 2000/2001 hadi miaka ya karibuni. Kijitabu kinaonyesha mafanikio na mapengo yaliyopo ambayo yanabidi yarekebishwe na watunga sera, wabuni mipango na wadau wengine.