Mabadiliko ya Kitaasisi na Vikwazo vya Ushindani Kwenye Masoko: Tafiti Kuhusu Wakulima Wadogo Tanzania
Historia ya sera nchini Tanzania imekuwa ni ya mabadiliko ya mara kwa mara ambayo lengo lake limekuwa ni kuongeza ufanisi na uzalishaji katika sekta muhimu za uchumi. Dokezo hili linatoa muhtasari wa kitabu kilichotokana na utafiti uliochunguza uwezo wa mabadiliko mbali mbali ya sera kuiongezea sekta ya kilimo, hususan wakulima